Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha utafiti wa Nigeria katika Taasisi ya Utafiti wa Afrika ya Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang Dkt. Michael Ehizuelen amesema, ushirikiano wa karibu wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika unaiwezesha Afrika kutimiza “Agenda ya 2063”, na kuchangia katika ustawi wa pamoja.
Mhandisi akifunga kifaa cha usambazaji umeme kwenye kituo cha kuzalisha 400KV cha Konza katika Konza mji wa teknolojia wa Kenya. (Xie Songxin/China Daily) Kuongezeka kwa zana za kifedha za kidijitali barani Afrika kupitia muunganisho wa simu za mkononi kumepanua upatikanaji wa huduma za kifedha, lakini kunazuiliwa na ukosefu wa upatikanaji wa nishati safi na yenye nafuu, walisema wataalamu waliokusanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, siku ya Jumatano, wakiongeza kuwa ushirikiano kati ya China na Afrika unaweza kusaidia kuziba pengo la upatikanaji wa nishati barani Afrika.
Tarehe 9, Mei 2024, mfanyabiashara(wa kulia) aliyeshiriki kwenye Maonesho ya Uchumi na Biashara ya China na Afrika akimjulisha mtembeleaji bidhaa kwenye maonesho. (Li Yahui/Xinhua) Msaidizi wa waziri wa biashara wa China Bw.