久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Ushirikiano kati ya China na Afrika katika uchumi na biashara wafikia kiwango kipya cha juu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2024

Tarehe 9, Mei 2024, mfanyabiashara(wa kulia) aliyeshiriki kwenye Maonesho ya Uchumi na Biashara ya China na Afrika akimjulisha mtembeleaji bidhaa kwenye maonesho. (Li Yahui/Xinhua)

Tarehe 9, Mei 2024, mfanyabiashara(wa kulia) aliyeshiriki kwenye Maonesho ya Uchumi na Biashara ya China na Afrika akimjulisha mtembeleaji bidhaa kwenye maonesho. (Li Yahui/Xinhua)

Msaidizi wa waziri wa biashara wa China Bw. Tang Wenhong akisema, tokea Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika mwaka 2021, ushirikiano kati ya China na Afrika katika sekta za uchumi na biashara umefikia kiwango kipya cha juu, na kuleta manufaa halisi kwa China na Afrika na wananchi wa nchi za pande hizo mbili.

Bw. Tang ametoa hotuba kwenye mkutano na waandishi wa habari akijulisha kwa makini kuhusu maendeleo na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa miradi 9 iliyotangazwa kwenye Mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, mkutano ambao uliandaliwa na China na kufanyika nchini Senegal miaka mitatu iliyopita.

Bw. Tang amesema, ushirikiano kati ya China na Afrika katika uwekezaji na biashara unaendelea kwa hatua madhubuti kutokana na utekelezaji wa miradi ya uhimizaji wa biashara, uendeshaji unaotegemea uwekezaji, kupunguza umaskini na kuwawezesha wakulima kupata manufaa. “China imekuwa mwenzi mkubwa zaidi wa biashara wa Afrika kwa miaka 15 mfululizo.

Bwana Tang amesema, katika miaka mitatu iliyopita, ujenzi wa miradi mingi ya ushirikiano umekamilika, kama vile Bandari ya Lekki ya Nigeria, barabara ya mwendo kasi ya utozaji ada kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nairobi Kenya na kadhalika. “China imewatuma wataalamu wa kilimo zaidi ya 500 kwa nchi za Afrika, ambapo watu karibu 9000 walipata mafunzo na kuwa watu wenye ujuzi, na China imesaidia kwa nguvu mchakato wa kuendeleza kilimo cha kisasa barani Afrika.

Bw. Tang amesema, chini ya msukumo wa miradi ya maendeleo yasiyoleta uchafuzi na uvumbuzi wa kidijitali, makampuni ya China yametekeleza miradi mingi kwa kutumia nishati safi, na uuzaji wa bidhaa za China za Betri za Lithium, bidhaa za photovoltaic na nyinginezo pia umeongezeka kwa dhahiri.

Bw. Tang amesema, wakati wa kufanyika kwa mkutano wa wakuu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika 2024, China na Afrika zitaendelea kukuza urafiki kwa kina, na kujadili mipango ya ushirikiano.

“China itapanua ufunguaji mlango wa mifumo kwa Afrika, kuendeleza kwa kina ushirikiano katika minyororo ya uzalishaji wa viwanda na minyororo ya utoaji wa bidhaa, kusukuma mbele zaidi ushirikiano na maendeleo kati ya China na Afrika katika sekta ya uchumi, na kutimiza hali ya kunufaika pamoja na maslahi” Tang ameongeza.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>