久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Picha: Maajabu ya mazingira ya asili na mwonekano wa Mji wa Shenzhen, China kutokea Mlima Wutong

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 04, 2024
Picha: Maajabu ya mazingira ya asili na mwonekano wa Mji wa Shenzhen, China kutokea Mlima Wutong
Mnara wa Runinga wa Shenzhen ulioko Mlima Wutong, Eneo la Luohu, mjini Shenzhen.

Mlima Wutong uko katika Mji wa Shenzhen, mkoani Guangdong, China. Una urefu wa mita 943.7 kutoka usawa wa bahari na ni mlima wenye kilele kirefu zaidi katika mji huo wa Shenzhen.

Kivutio cha Watalii cha Mlima Wutong kinavuka maeneo matatu ya Luohu, Yantian, na Longgang ya Mji wa Shenzhen, na kinaungana na safu za milima ya Xinjie na vijito vya eneo la Hong Kong.

Kwa kupanda Mlima Wutong, unaweza kutazama mji wa Shenzhen kutoka juu, na wakati huohuo unaweza kuona milima na majengo ya eneo la Xinjie la Hong Kong kwa mbali.

Kwa uzuri wake wa kipekee wa mazingira ya asili na utazamaji wa mandhari ya mji, Kivutio hicho cha Watalii cha Mlima Wutong kimekuwa mahali pazuri kwa wakazi wa Shenzhen na watalii kupanda juu na kuwa karibu na mazingira ya asili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>