Lugha Nyingine
Mawimbi ya Baridi Kali Yaikumba?China, Maeneo Mengi Yashuhudia Kuanguka kwa Theluji (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 26, 2024
Picha hii ya droni iliyopigwa Novemba 25, ikionyesha mandhari ya Ukuta Mkuu eneo la Dajingmen baada ya theluji kuanguka katika Mji wa Zhangjiakou, Mkoani Hebei, China. (Picha na Wu Diansen/ Xinhua) |
Kutokana na athari za mawimbi ya baridi kali, maeneo mengi ya Kaskazini Magharibi, Kaskazini, na Kaskazini Mashariki mwa China yameshuhudia kuanguka kwa theluji.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma