Lugha Nyingine
Kutembelea kwenye Maonyesho ya 15 ya kimataifa ya usafiri wa ndege na safari za?anga ya juu ya China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2024
Tarehe 10 Novemba, Maonyesho ya 15 ya kimataifa ya usafiri wa ndege na safari za anga ya juu ya China yalifanya shughuli ya kutembelewa kwa vyombo vya habari. Maonyesho ya mwaka huu yatafanyika kuanzia Novemba 12 hadi 17 katika Kituo cha Maonyesho ya usafiri wa ndege cha mji wa Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, na ndege na vyombo vya usafiri wa anga ya juu vitahusika na sekta zote za “nchi kavu, baharini, angani, anga ya juu, umeme, mtandaoni” na kuonesha vyombo mbalimbali vya usafiri wa anga vyenye teknolojia ya kiwango cha juu duniani. (Picha na Chen Jimin/CHINANEWS )
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma