Lugha Nyingine
Theluji yaanguka kwa mara ya kwanza mwaka huu kwenye Milima Emei, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 22, 2024
Watalii wakiangalia milima na mawingu yaliyo kama bahari kwenye eneo la Jinding la Milima Emei tarehe 20, Novemba. |
Siku hizi, theluji ya kwanza ya mwaka huu imeanguka kwenye Milima Emei nchini China, ambapo milima yenye maumbo ya ajabu na misitu mikubwa inayofunikwa na theluji, pamoja na mawingu na ukungu vikionekana kama picha moja moja zilizochorwa za mandhari nzuri ya mazingira ya theluji na barafu.
Picha na Jiang Hongjing/Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma