久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Ujenzi wa Daraja la Juu zaidi duniani waingia kipindi kipya (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 05, 2024
Ujenzi wa Daraja la Juu zaidi duniani waingia kipindi kipya
Boriti ya kwanza ya chuma ya daraja la Bonde la Mto Huajiang imefika kwenye sehemu iliyopangwa.

Tarehe 4, Novemba, ujenzi wa Daraja la Bonde la Mto Huajiang la Guizhou ambalo litakuwa daraja la juu zaidi duniani umekamilisha kazi ya kufunga boriti ya kwanza ya chuma, ambapo ujenzi wa daraja hilo umeingia kipindi kipya na kuweka msingi kwa ajili ya kuzinduliwa rasmi kwa daraja hilo mwakani.

Daraja la Bonde la Mto Huajiang lililoanza ujenzi wake mwaka 2022 ni maarufu kwa sababu ya kuwa linavuka Bonde la Mto Huajiang lililosifiwa kama "ufa wa dunia". Urefu wa jumla wa Daraja hilo umefikia mita 2,980, na kimo chake kutoka juu ya usawa wa maji kimefikia mita 625. Daraja hilo litakuwa daraja la juu zaidi duniani baada ya ujenzi wake kukamilishwa.

(Tao Liang/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>