Lugha Nyingine
Kazi ya utafiti wa kisayansi wa fani mbalimbali yakamilika mkoani Xinjiang, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
Kazi ya siku nane ya utafiti wa kisayansi wa fani mbalimbali iliyoanza Oktoba 19 huko Atux, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China imekamilika rasmi. Wakati wa kazi hiyo, watafiti wamefanya uchunguzi katika njia za kale, maeneo ya kihistoria na alama muhimu za kijiografia katika Eneo la Kirgiz la Mji wa Kizilsu, mkoani humo.?
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Mandhari ya majira ya mpukutiko ya Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Huaxi huko Guiyang, China
Barabara Kuu ya Jianhe-Liping yafunguliwa kwa matumizi ya umma kusini magharibi mwa China
Wanariadha wa Ethiopia washinda mbio za Marathon za Amsterdam
Maua ya krisanthemum yaingia msimu wa mavuno huko Liupanshui, Kusini Magharibi mwa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma