<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Treni ya kwanza ya mizigo ya "Jinbo" ya China-Ulaya yawasili Shanghai, Mashariki mwa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2024
    Treni ya kwanza ya mizigo ya
    Treni ya kwanza ya mwaka huu ya mizigo ya "Jinbo" ya China-Ulaya ikiwasili kwenye Stesheni ya Reli ya Minhang mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Oktoba 20, 2024. (Xinhua/Wang Xiang)

    Treni ya kwanza ya mizigo ya "Jinbo" ya China-Ulaya iliyobeba vitu vya kuoneshwa kwenye Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) imewasili kwenye Stesheni ya Reli ya Minhang mjini Shanghai, Mashariki mwa China siku ya Jumapili, ikiwa ni mwaka wa nne mfululizo kwa bidhaa za maonyesho ya CIIE kusafirishwa hadi Shanghai kupitia huduma hiyo ya treni ya mizigo ya China-Ulaya.

    "Jinbo" ni ufupi wa maneno ya CIIE ya Kichina. Treni hiyo, iliyosafiri umbali wa kilomita zaidi ya 11,000 kwa siku 21, imepakia makontena 76 yenye urefu wa futi ishirini yaliyobeba bidhaa zenye thamani ya Yuan milioni 100 (dola za Kimarekani kama milioni 14.08), zikiwa pamoja na vipodozi na mashine na vifaa.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>