久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Shamba la Chumvi lakaribisha msimu wa mavuno ya chumvi huko Caofeidian, Mkoa wa Hebei, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 17, 2024
Shamba la Chumvi lakaribisha msimu wa mavuno ya chumvi huko Caofeidian, Mkoa wa Hebei, China
Wafanyakazi wakiendesha ngalawa za kusafirisha chumvi ya msimu wa mpukutiko kwenye Shamba la Chumvi la Nanbao huko Caofeidian, Mji wa Tangshan, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Oktoba 16. (Xinhua/ Yang Shiyao)

Sasa ni msimu wa kuvuna chumvi ya majira ya mpukutiko, na wafanyakazi katika Shamba la Chumvi la Nanbao huko Caofeidian, Mji wa Tangshan wa Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, wanatumia vizuri fursa ya hali nzuri ya hewa kuvuna chumvi.

Kwa mujibu wa ripoti husika, Shamba la Chumvi la Nanbao ni moja kati ya vituo vikubwa zaidi vya uzalishaji wa chumvi ya baharini katika Eneo la chumvi la Changlu la China, likichukua eneo lenye ukubwa wa mu 350,000 (sawa na hekta 23,333.33 hivi), na mwaka huu uzalishaji wake wa jumla unakadiriwa kuja kufikia tani milioni 1.4.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>