<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Maonyesho ya Biashara ya 136 ya Canton yaanza, yakileta fursa pana zaidi za soko kwa washirika

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 16, 2024
    Maonyesho ya Biashara ya 136 ya Canton yaanza, yakileta fursa pana zaidi za soko kwa washirika
    Wanunuzi wa kigeni wakionekana kwenye Maonyesho ya 136 ya Uagizaji na Uuuzaji Nje Bidhaa ya China huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 15, 2024. (Xinhua/Liu Dawei)

    GUANGZHOU - Maonyesho ya 136 ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China, kwa ufupi yanaitwa Maonyesho ya Biashara ya Canton, yakiwa na kaulimbiu ya “Kuhudumia maendeleo ya sifa bora, kuhimiza ufunguaji mlango wa kiwango cha juu," yameanza jana Jumanne huko Guangzhou, mji mkuu wa Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China yakivutia wafanyabiashara zaidi ya 30,000 wanaoonyesha bidhaa mpya milioni 1.15.

    Kampuni, bidhaa, teknolojia na aina nyingi mpya za biashara zinaoneshwa kwa mara ya kwanza, zikivutia wanunuzi 147,000 wa ng'ambo ambao walijiandikisha mapema kwa ajili ya maonyesho hayo.

    Maonyesho hayo ya biashara yatafanyika kwa vipindi vitatu kuanzia Oktoba 15 hadi Novemba 4.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av