久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kituo cha Kale kwenye Njia ya Hariri Chaonyesha Mtindo Mpya huko Tuyugou, Mkoa wa Xinjiang, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2024
Kituo cha Kale kwenye Njia ya Hariri Chaonyesha Mtindo Mpya huko Tuyugou, Mkoa wa Xinjiang, China
Watalii wakipiga picha katika eneo la kivutio la Tuyugou, Oktoba 7. (Xinhua/Chen Shuo)

Kijiji cha Tuyugou, "Kijiji Maarufu cha Kihistoria na Kitamaduni nchini China" kiko katika Wilaya ya Shanshan, Mkoa wa Xinjiang, Kaskazini mwa China. Kina historia ya miaka zaidi ya elfu. Ni kituo cha kale kwenye njia ya hariri na mahali pa kukutana kwa tamaduni mbalimbali za dunia.

Kuna mabaki ya kitamaduni na maeneo ya kihistoria zaidi ya 20 katika kijiji hicho. Kijiji cha Tuyugou huunganisha uhifadhi wa vijiji vya kale na makazi ya kale pamoja na maendeleo ya utalii wa vijijini ili kupata hali ya manufaa kwa pande zote kwa ajili ya uhifadhi fanisi wa rasilimali za utalii wa urithi wa kitamaduni na maendeleo ya uchumi wa utalii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>