Lugha Nyingine
Kituo cha Kale kwenye Njia ya Hariri Chaonyesha Mtindo Mpya huko Tuyugou, Mkoa wa Xinjiang, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2024
Picha ikionyesha sehemu ya Kijiji cha Tuyugou, Wilaya ya Shanshan, Mkoa wa Xinjiang, Oktoba 8.(Xinhua/Hu Huhu) |
Kijiji cha Tuyugou, "Kijiji Maarufu cha Kihistoria na Kitamaduni nchini China" kiko katika Wilaya ya Shanshan, Mkoa wa Xinjiang, Kaskazini mwa China. Kina historia ya miaka zaidi ya elfu. Ni kituo cha kale kwenye njia ya hariri na mahali pa kukutana kwa tamaduni mbalimbali za dunia.
Kuna mabaki ya kitamaduni na maeneo ya kihistoria zaidi ya 20 katika kijiji hicho. Kijiji cha Tuyugou huunganisha uhifadhi wa vijiji vya kale na makazi ya kale pamoja na maendeleo ya utalii wa vijijini ili kupata hali ya manufaa kwa pande zote kwa ajili ya uhifadhi fanisi wa rasilimali za utalii wa urithi wa kitamaduni na maendeleo ya uchumi wa utalii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma