Lugha Nyingine
Kuongezeka kwa safari za kitalii na matumizi ya likizo vyaonesha ustawi wa uchumi wa China wakati wa likizo ya Siku ya taifa (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 06, 2024
Watu wakitazama mchezo wa tenisi ya mezani wa China Smash wa Shirikisho la Tenisi ya Mezani Duniani 2024 (WTT) katika Bustani ya Shougang mjini Beijing, China, Oktoba 3, 2024. (Xinhua/Zhang Chenlin) |
Katika likizo ndefu ya wiki moja ya siku ya taifa ya China inayoendelea ambayo ilianza Oktoba 1, watu wa China wamechukua mapumziko hayo kusafiri na kufurahia shughuli za burudani na starehe. Matumizi katika safari za kitalii na likizo yameendelea kuongezeka, ikionesha ustawi wa uchumi wa China.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma