<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Taa zitawashwa na kuangaza Majengo ya Alama mjini Beijing kuadhimisha miaka 75 ya Jamhuri ya Watu wa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2024
    Taa zitawashwa na kuangaza Majengo ya Alama mjini Beijing kuadhimisha miaka 75 ya Jamhuri ya Watu wa China
    Watalii wakitembelea Mtaa wa Qianmen na Jengo la Mshale la Lango la Zhengyang la Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 26, 2024. (Xinhua/Ju Huanzong)

    Taa zaidi ya 2,800 zitawashwa na kuangaza majengo ya alama mjini Beijing kuanzia leo Septemba 29 hadi Oktoba 7 ili kuadhimisha miaka 75 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China.

    Taa hizo maalum zilizoboreshwa zitaangaza kwa kuvutia zaidi majengo makubwa ya alama yaliyopo kwenye kando za mstari wa katikati wa Beijing kama vile Lango la Yongding na Majengo ya Kengele na Ngoma kwa ajili ya likizo hiyo ijayo ya Sikukuu ya Taifa .?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av