久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Tasnia ya AI yashika kasi katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
Tasnia ya AI yashika kasi katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China
Mfanyakazi akionyesha mausi ya kompyuta yenye teknolojia ya utambuzi wa hotuba kwenye ukumbi wa maonyesho wa Bonde la Hotuba la China, Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Septemba 20, 2024. (Xinhua/Huang Bohan)

Bonde la Hotuba la China katika Mji wa Hefei, Bonde la Maono la China katika Mji wa Wuhu na Bonde la Vifaa vya Kuhisi la China katika Mji wa Bengbu, ni maeneo matatu muhimu ya kielelezo kwa tasnia ya teknolojia za akili mnemba (AI) katika Mkoa wa Anhui.

Katika miaka ya hivi karibuni, mkoa huo wa Anhui umekuwa ukiendeleza tasnia yake ya AI kwa bidii huku ikiwekea mkazo ujengaji wa vipaji na uwekezaji wa mtaji. Bidhaa na programu mbalimbali mpya kama vile mfumo wa kutambua ubora wa AI viwandani, vifaa vya MEMS na modeli kubwa ya Al zimeweza kutengenezwa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>