Lugha Nyingine
Tasnia ya AI yashika kasi katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
Bonde la Hotuba la China katika Mji wa Hefei, Bonde la Maono la China katika Mji wa Wuhu na Bonde la Vifaa vya Kuhisi la China katika Mji wa Bengbu, ni maeneo matatu muhimu ya kielelezo kwa tasnia ya teknolojia za akili mnemba (AI) katika Mkoa wa Anhui.
Katika miaka ya hivi karibuni, mkoa huo wa Anhui umekuwa ukiendeleza tasnia yake ya AI kwa bidii huku ikiwekea mkazo ujengaji wa vipaji na uwekezaji wa mtaji. Bidhaa na programu mbalimbali mpya kama vile mfumo wa kutambua ubora wa AI viwandani, vifaa vya MEMS na modeli kubwa ya Al zimeweza kutengenezwa.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma