久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Ndege ya Y-20?yawasili?Afrika Kusini kwa Mara ya Kwanza na kushiriki?Maonyesho ya Anga na Ulinzi ya Afrika (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024
Ndege ya Y-20?yawasili?Afrika Kusini kwa Mara ya Kwanza na kushiriki?Maonyesho ya Anga na Ulinzi ya Afrika
Rubani wa Y-20 wa Jeshi la Anga la China akiitambulisha ndege hiyo kwa marafiki wa kigeni kwenye Maonyesho ya Anga na Ulinzi ya Afrika huko Pretoria, mji mkuu wa Afrika Kusini, Septemba 18. (Xinhua/Wang Ruijie)

Ndege ya Y-20 ya Jeshi la Anga la China imeshiriki kwenye Maonyesho ya Anga na Ulinzi ya Afrika yaliyofunguliwa huko Pretoria, mji mkuu wa Afrika Kusini, Septemba 18 ikiwa ni mara ya kwanza kwa ndege hiyo kuwasili Afrika Kusini na itaonyeshwa ikiwa imetua na wakati ikifanya maonyesho ya anga.

Wakati wa maonyesho hayo ya anga Ndege ya Y-20 imepangwa kukamilisha miruko mitano ya kistadi kwa dakika 10.

"Ili kuonyesha mwonekano bora kwenye maonyesho, tulibuni miruko ya kistadi angani kulingana na sifa za anga za uwanja wa ndege husika na muda uliopangwa wa onyesho, na kujitahidi kuonyesha ufanisi bora wa kuruka wa ndege ya Y-20 na pia kuonyesha mbinu bora na uwezo mzuri wa marubani wa Jeshi la Anga la China." Mkuu wa marubani anayesimamia kazi hiyo Liang Yao amesema.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>