<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Meli ya Hospitali ya jeshi la Majini la China “Peace Ark” yamaliza ziara nchini Angola na kuelekea Jamhuri ya Congo

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 12, 2024
    Meli ya Hospitali ya jeshi la Majini la China “Peace Ark” yamaliza ziara nchini Angola na kuelekea Jamhuri ya Congo
    Septemba 11 kwa saa za huko,Meli ya Hospitali ya jeshi la Majini la China “Peace Ark”iliondoka bandari ya Luanda huko Angola. Picha hii ikionesha hafla ya kusindikiza. (Xinhua/Liu Zhilei)

    Meli ya hospitali ya kikosi cha majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA), “Peace Ark”, iliyotekeleza“Jukumu la Maafikiano 2024”imemaliza ziara katika Angola kwa siku saba na kuondoka bandari ya Luanda tarehe 11 hadi Kongo (Brazzaville), ambayo ni kituo cha saba cha kazi ya kikosi hiki.

    Katika ziara yake hii, meli hiyo ya hospitali imetoa huduma za matibabu kwa watu zaidi ya 6700. Zaidi ya hayo, wajumbe wa madaktari walikuwa wakiingia Nyumba za Watoto, Chuo cha Confucius na Kituo cha Wanajeshi wa majini na kutoa huduma ya afya, kufanya shughuli ya kitamaduni na michezo.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av