Lugha Nyingine
Meli ya Hospitali ya jeshi la Majini la China “Peace Ark” yamaliza ziara nchini Angola na kuelekea Jamhuri ya Congo (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 12, 2024
Meli ya hospitali ya kikosi cha majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA), “Peace Ark”, iliyotekeleza“Jukumu la Maafikiano 2024”imemaliza ziara katika Angola kwa siku saba na kuondoka bandari ya Luanda tarehe 11 hadi Kongo (Brazzaville), ambayo ni kituo cha saba cha kazi ya kikosi hiki.
Katika ziara yake hii, meli hiyo ya hospitali imetoa huduma za matibabu kwa watu zaidi ya 6700. Zaidi ya hayo, wajumbe wa madaktari walikuwa wakiingia Nyumba za Watoto, Chuo cha Confucius na Kituo cha Wanajeshi wa majini na kutoa huduma ya afya, kufanya shughuli ya kitamaduni na michezo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma