久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Xi Jinping akagua Mji Baoji wa Mkoa wa Shaanxi na Mji Tianshui wa Mkoa wa Gansu, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 12, 2024
Xi Jinping akagua Mji Baoji wa Mkoa wa Shaanxi na Mji Tianshui wa Mkoa wa Gansu, China
Xi Jinping akifahamishwa kuhusu hali ya serikali ya mtaa kuimarisha uhifadhi na matumizi ya mabaki ya kale wakati wa ukaguzi wake kwenye Jumba la Makumbusho la Vyombo vya Shaba Nyeusi la Baoji. (Xinhua/Wang Ye)

Kuanzia mchana wa tarehe 10 hadi asubuhi ya tarehe 11 mwezi huu, Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China alikagua Mji Baoji wa Mkoa wa Shaanxi na Mji Tianshui wa Mkoa wa Gansu nchini China.

Katika Mji Baoji, Xi alikagua Jumba la Makumbusho la Vyombo vya Shaba Nyeusi la Baoji na Bustani ya Ikolojia ya Mto Weihe, ambapo alifahamishwa kuhusu hali ya sehemu hiyo kuimarisha uhifadhi na matumizi ya mabaki ya kale ya utamaduni, na kulinda mazingira ya asili ya Mto Weihe.

Kwenye Mji Tianshui, Xi alikagua Hekalu la Fuxi, Mashamba ya Tufaha ya Nanshan kwenye eneo la Maiji, na Mapango ya Mawe ya Mlima Maijishan, ambapo alifahamishwa kuhusu hali ya sehemu hiyo kuhimiza kazi ya kuhifadhi na kurithisha mabaki ya kale ya utamaduni, na ya kuendeleza viwanda vya kisasa vya kuzalisha bidhaa za matunda yenye sifa ya kipekee ya sehemu ya milimani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>