Lugha Nyingine
Mashindano ya Magari kuvuka Jangwa yafanyika kwenye jangwa la Wilaya ya Hangjin, Mongolia ya Ndani (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 23, 2024
Tarehe 22 Agosti, Mashindano ya Mbio za Magari kuvuka Jangwa za Kubuqi ya China 2024 na Michuano ya Hadhara ya Magari kuvuka Jangwa ya China ya Kituo cha Hangjin yalifunguliwa kwenye Uwanja wa Sini wa Wilaya ya Hangjin ya Mji wa Ordos, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, China.
Ikiwa ni moja ya mashindano yenye historia ndefu zaidi na yenye ushawishi mkubwa zaidi nchini China, Michuano ya Hadhara ya Magari kuvuka Jangwa ya China imefanyika katika Jangwa la Kubuqi mwaka 2024. Timu 23 za magari na madereva zaidi ya 150 watagombea tuzo mbalimbali kwenye barabara ya mashindano ya mbio yenye urefu wa kilomita 600.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma