<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Mashindano ya Magari kuvuka Jangwa yafanyika kwenye jangwa la Wilaya ya Hangjin, Mongolia ya Ndani (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 23, 2024
    Mashindano ya Magari kuvuka Jangwa yafanyika kwenye jangwa la Wilaya ya Hangjin, Mongolia ya Ndani
    Washiriki wakipiga picha kwenye Hafla ya Ufunguzi wa Mashindano ya Mbio za Magari kuvuka Jangwa za Kubuqi ya China 2024 na Michuano ya Hadhara ya Magari kuvuka Jangwa ya China ya Kituo cha Hangjin,tarehe 22, Agosti.(Picha na Ding Genhou)

    Tarehe 22 Agosti, Mashindano ya Mbio za Magari kuvuka Jangwa za Kubuqi ya China 2024 na Michuano ya Hadhara ya Magari kuvuka Jangwa ya China ya Kituo cha Hangjin yalifunguliwa kwenye Uwanja wa Sini wa Wilaya ya Hangjin ya Mji wa Ordos, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, China.

    Ikiwa ni moja ya mashindano yenye historia ndefu zaidi na yenye ushawishi mkubwa zaidi nchini China, Michuano ya Hadhara ya Magari kuvuka Jangwa ya China imefanyika katika Jangwa la Kubuqi mwaka 2024. Timu 23 za magari na madereva zaidi ya 150 watagombea tuzo mbalimbali kwenye barabara ya mashindano ya mbio yenye urefu wa kilomita 600.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>