久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mashindano ya Mbio za Magari kuvuka Jangwa za Kubuqi ya China 2024?na Michuano ya Hadhara ya Magari kuvuka Jangwa ya China ya Kituo cha Hangjinqi yaanza (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 23, 2024
Mashindano ya Mbio za Magari kuvuka Jangwa za Kubuqi ya China 2024?na Michuano ya Hadhara ya Magari kuvuka Jangwa ya China ya Kituo cha Hangjinqi yaanza
Mshiriki akiwa kwenye Mashindano ya Mbio za Magari kuvuka Jangwa za Kubuqi ya China 2024 na Michuano ya Hadhara ya Magari kuvuka Jangwa ya China ya Kituo cha Hangjin,tarehe 22, Agosti.(Picha na Wang Shaokai)

Tarehe 22 Agosti, Mashindano ya Mbio za Magari kuvuka Jangwa za Kubuqi ya China 2024, pia ni Michuano ya Hadhara ya Magari kuvuka Jangwa ya China ya Kituo cha Hangjin yalifunguliwa kwenye Uwanja wa Sini wa Wilaya ya Hangjin ya Mji wa Ordos, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, China.

Zhang Zhongping, naibu katibu wa Kamati ya Chama ya Wilaya ya Hangjin ambaye pia ni mkuu wa wilaya hiyo, alisema katika hafla ya ufunguzi kwamba Wilaya ya Hangjin itajitahidi kufanya mashindano hayo kuwa ya kipekee na kujenga Wilaya ya Hangjin kuwa sehemu yenye nguvu ya kufanya mashindano ya kuvuka jangwa na kuwa nyumbani kwa madereva.

Katika miaka ya hivi karibuni, wilaya ya Hangjin imetafuta kwa nguvu uwezo wa kitamaduni wa eneo hilo, imetumia vya kutosha nguvu yake bora ya rasilimali na chapa, na kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha maendeleo ya shughuli za utalii na utamaduni ili kupanua ushawishi na umaarufu wa shughuli za utalii katika wilaya hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>