久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Utalii wa jangwani waendelezwa sambamba na ulinzi wa ikolojia huko Dalad, Kaskazini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2024
Utalii wa jangwani waendelezwa sambamba na ulinzi wa ikolojia huko Dalad, Kaskazini mwa China
Li Fang akitoa maelezo kwa watalii kuhusu njia za safari kwenye eneo la mandhari nzuri la Jangwa la Yinkentala huko Dalad, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Julai 31, 2024. (Xinhua/Li Zhipeng)

Li Fang mwenye umri wa miaka 30, ni afisa anayesimamia eneo la Jangwa la Yinkentala, ambalo ni kivutio maarufu cha watalii huko Dalad, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China. Kupitia juhudi zake, utalii wa kupiga kambi kwenye vibanda vidogo vya nyumba ulifunguliwa hivi karibuni, na kuwa kivutio kipya kwa watalii kutoka ndani na nje ya China.

Watalii wanaomiminika pia wameleta fursa zaidi za ajira kwa wanavijiji wanaoishi karibu na eneo hilo, pamoja na faida nzuri kupitia miradi yao ya utalii iliyoendelezwa kwa pamoja.

Ulinzi wa kiikolojia unapaswa pia kuangaziwa katika maendeleo ya utalii, Li amesema, akiongeza kuwa sehemu zaidi za kijani zitaongezwa jangwani ili kuhakikisha usawa kati ya shughuli za kiuchumi na hali endelevu ya mazingira ya asili.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>