Lugha Nyingine
Utalii wa jangwani waendelezwa sambamba na ulinzi wa ikolojia huko Dalad, Kaskazini mwa China (5)
Li Fang akitazama hali ya eneo la Jangwa la Yinkentala huko Dalad, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Julai 31, 2024. (Xinhua/Li Zhipeng) |
Li Fang mwenye umri wa miaka 30, ni afisa anayesimamia eneo la Jangwa la Yinkentala, ambalo ni kivutio maarufu cha watalii huko Dalad, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China. Kupitia juhudi zake, utalii wa kupiga kambi kwenye vibanda vidogo vya nyumba ulifunguliwa hivi karibuni, na kuwa kivutio kipya kwa watalii kutoka ndani na nje ya China.
Watalii wanaomiminika pia wameleta fursa zaidi za ajira kwa wanavijiji wanaoishi karibu na eneo hilo, pamoja na faida nzuri kupitia miradi yao ya utalii iliyoendelezwa kwa pamoja.
Ulinzi wa kiikolojia unapaswa pia kuangaziwa katika maendeleo ya utalii, Li amesema, akiongeza kuwa sehemu zaidi za kijani zitaongezwa jangwani ili kuhakikisha usawa kati ya shughuli za kiuchumi na hali endelevu ya mazingira ya asili.?
Mali ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika Kando Mbili za Mfereji Mkuu wa China Yaonyeshwa Mkoani Hebei
Michezo ya Kupanda Farasi ya"Agosti Mosi" yaanza katika Wilaya ya Litang Mkoa wa Sichuan, China
Mashindano ya kimataifa ya boti za matanga yamalizika huko Dalian, China
Watalii watembelea eneo lenye mandhari nzuri la Mlima Fairy la Chongqing, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma