久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mkandarasi wa China apata mafanikio ya kupitika kwa handaki la mwisho kwenye njia kuu ya usafiri wa haraka Nepal

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2024
Mkandarasi wa China apata mafanikio ya kupitika kwa handaki la mwisho kwenye njia kuu ya usafiri wa haraka Nepal
Balozi wa China nchini Nepal Chen Song akihutubia kwenye hafla ya kupitika kwa handaki iliyofanyika kwenye mahali pa ujenzi wa mradi wa pili wa njia kuu ya usafiri wa haraka wa Nepal katika wilaya ya Makwanpur nchini Nepal, Agosti 5, 2024. (Picha na Hari Maharjan/Xinhua)

KATHMANDU – Handaki la mwisho limefaulu kupasuliwa na kupitika siku ya Jumatatu kwa mradi wa pili ulio chini ya kandarasi ya kampuni ya China chini ya mradi wa ujenzi wa njia kuu ya usafiri wa haraka wa Kathmandu-Terai/Madhesh, ambapo Waziri Mkuu wa Nepal KP Sharma Oli ameuelezea kuwa ni "hatua muhimu" katika kufikia malengo ya maendeleo ya Nepal.

Baada ya waziri mkuu kubonyeza kitufe, mlipuko wa mwisho ulilipuliwa na kupasua sehemu ya mwisho ya handaki la kushoto la Dhedre.

"Kushuhudia mafanikio ya kupitika kwa handaki lingine ni jambo la furaha," Oli amesema kwenye hafla ya mafanikio hayo iliyofanyika katika mahali pa ujenzi wa mradi huo katika wilaya ya Makwanpur.

Handaki la Dhedre na handaki la Lanedanda ni sehemu ya mradi wa pili chini ya mradi wa ujenzi wa njia kuu ya usafiri wa haraka, ambao pia unahusisha ujenzi wa madaraja makubwa mawili, miongoni mwa mengine.

Mwezi Mei 2021, Kampuni ya Uhandisi ya Poly Changda ya China ilitia saini makubaliano ya kandarasi na Jeshi la Nepal kuhusu mradi huo wa 2 wa ujenzi wa njia kuu ya usafiri wa haraka, ambayo ina urefu wa kilomita 4.62.

Mahandaki yote mawili yanajumuisha handaki la kushoto na kulia, huku ujenzi wa mahandaki mawili ya Lanedanda ukiwa ulikamilishwa mwezi wa Mei na Julai, na handaki la kulia la Dhedre lilipasuliwa mwezi wa Mei.

Akihutubia hafla hiyo ya mafanikio, Balozi wa China nchini Nepal Chen Song amezungumzia kuanzishwa kwa vifaa vya teknolojia ya hali ya juu vya ujenzi wa kiotomatiki wa handaki kama vile mashine ya mikono mitatu ya kuchimba miamba na mikono ya roboti ya kunyunyizia maji kwa ajili ya mradi huo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>