<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Viongozi wa CPC waweka vipaumbele vya kiuchumi kwa nusu ya pili ya Mwaka 2024

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 31, 2024

    BEIJING – Viongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) wamefanya mkutano siku ya Jumanne kuchambua hali ya hivi sasa ya uchumi wa China na kuweka vipaumbele vya nusu ya pili ya mwaka huu wa 2024, ambapo Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya CPC, aliongoza mkutano huo wa Ofisi ya Siasa ya kamati hiyo kuu.

    Uchumi wa China kwa ujumla umekuwa shwari na kupata maendeleo tokea mwaka huu, taarifa iliyotolewa baada ya mkutano huo imeeleza.

    Taarifa hiyo imesema, nchi ya China imedumisha mwelekeo wa ufufukaji wa uchumi na kupiga hatua kwa haraka ili kupata vichocheo vipya vya ongezeko la uchumi na kuongeza nguvu ya ushindani.

    Pato la Taifa la China limeongezeka kwa asilimia 5 katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2024 kuliko lile la kipindi hiki cha mwaka uliopita.

    Hivi sasa, China inakabiliwa na athari zaidi kutoka kwenye mabadiliko ya mazingira ya nje, na mahitaji yenye ufanisi nchini bado hayajafikia hali ya kutosha. Ripoti ya mkutano huo imesema kuwa, bado kuna matishio mbalimbali na hatari zinazowezekana kutokea katika sekta kuu, vilevile changamoto zinazotokana na kutumia vichocheo vipya vya ukuaji wa uchumi badala ya vile vya jadi. Hata hivyo, ripoti hiyo imebainisha kuwa hayo yote ni matatizo ambayo hutokea katika mchakato wa maendeleo na mageuzi.

    Mkutano huo umeagiza kufanyika juhudi za kuongeza uelewa wa hatari, kuwa tayari kukabiliana na hali mbaya zaidi, na kudumisha dhamira ya kimkakati na imani kwa maendeleo ya nchi.

    Mkutano huo umedhihirisha kwamba kazi za mageuzi na maendeleo na kudumisha utulivu katika nusu ya pili ya mwaka huu ni ngumu sana, mkutano huo umesisitiza kujitahidi kupata maendeleo katika mchakato wa kuhakikisha utulivu. Mkutano huo umeagiza kufanya juhudi za kuandaa na kuendeleza nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora kwa kufuata hali halisi ya maeneo na sehemu husika, kuimarisha marekebisho na udhibiti wa uchumi mkuu na kutumia ipasavyo nguvu ya uwezo wa mahitaji ya nchini na juhudi nyingine husika.

    China imeweka lengo lake la ongezeko la Pato la Taifa la mwaka 2024 kuwa ni asilimia 5 hivi.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>