久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Xi ampongeza Maduro kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Venezuela

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 31, 2024

BEIJING –Rais wa China Xi Jinping siku ya jumanne wiki hii amemtumia salamu za mapongezi Nicolas Maduro, kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Jamhuri ya Bolivari ya Venezuela.

Rais Xi amesema, tangu rais Maduro aingie madarakani, ameiongoza serikali ya Venezuela na wananchi wake katika kufuata njia ya maendeleo inayolingana na hali halisi ya nchi hiyo na kupata mafanikio makubwa katika ujenzi wa nchi.

Rais Xi amesema, China na Venezuela ni marafiki wazuri ambao wanaaminiana na washirika wazuri katika kutafuta maendeleo kwa pamoja. China, kama ilivyofanya siku zote, itaunga mkono kithabiti juhudi za Venezuela za kulinda mamlaka ya nchi, heshima ya taifa na utulivu wa kijamii, vilevile itaunga mkono mapambano ya haki ya Venezuela ya kupinga uingiliaji wa nje.

Rais Xi amesema kuwa anatilia maanani sana maendeleo ya uhusiano kati ya China na Venezuela na anapenda kushirikiana na Rais Maduro katika kuendelea kuongoza uhusiano wa wenzi wa kimkakati wa siku zote kati ya China na Venezuela kuelekea ngazi mpya bila kusita, na kuleta manufaa kwa watu wa nchi zote mbili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>