久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yakaribisha Azimio la Beijing kuhusu kumaliza mafarakano ya kisiasa ya Palestina

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 25, 2024

CAIRO - Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (AL) imekaribisha Azimio la Beijing la Kumaliza Mafarakano na Kuimarisha Umoja wa Kitaifa wa Palestina, ambapo katika taarifa yake siku ya Jumatano, Katibu Mkuu msaidizi wa AL anayeshughulikia mambo ya Palestina na ardhi inayokaliwa ya Nchi za Kiarabu Bw. Saeed Abu Ali, amepongeza nafasi ya kihistoria ya China ya kuunga mkono mapambano ya Palestina, amesema hii imeonesha kina na nguvu ya uhusiano kati ya nchi za Kiarabu na China.

Amesema jumuiya ya AL inapongeza juhudi na mipango ya viongozi wa China, na kuendelea kwake kuunga mkono haki za watu wa Palestina.

Abu Ali pia amepongeza juhudi za China za kuimarisha mapambano ya haki na halali ya watu wa Palestina kwa ajili ya kuanzishwa kwa taifa huru, lenye mamlaka kamili la Palestina kwenye mipaka ya Mwaka 1967 na Jerusalem Mashariki ikiwa mji mkuu wake, kwa mujibu wa maamuzi husika yenye uhalali wa kimataifa na Pendekezo la Amani la Nchi za Kiarabu.

Kwa mwaliko wa upande wa China, wawakilishi wa ngazi za juu wa pande 14 za Palestina walikuwa wakifanya mazungumzo ya maafikiano mjini Beijing kuanzia tarehe 21 hadi 23 Julai, na kutia saini azimio la kumaliza mafarakano na kuimarisha umoja.

Ni mara ya kwanza kwa makundi hayo 14 ya Palestina kukusanyika mjini Beijing kwa ajili ya mazungumzo ya maafikiano, ikileta matumaini ya thamani kwa watu wanaoteseka wa Palestina.

Siku ya Jumanne, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi alitangaza kwamba China imependekeza mpango wa hatua tatu za kutatua suala la Palestina.

Wang amesema kuwa suala la Palestina ndilo kiini cha suala la Mashariki ya Kati, China haina maslahi binafsi katika suala la Palestina, na daima imekuwa ikiunga mkono kithabiti wananchi wa Palestina katika kurejesha haki zao halali za kitaifa.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>