<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Kijiji kidogo cha Watu wa kabila la Wamiao chahimiza ustawishaji na maendeleo zaidi ya kijiji

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
    Kijiji kidogo cha Watu wa kabila la Wamiao chahimiza ustawishaji na maendeleo zaidi ya kijiji
    Mwanakijiji Liang Yingmi (kushoto) na mkewe Liang Anhe wakienda kazini katika Kijiji cha Wuying kwenye mpaka kati ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini-Magharibi mwa China na Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Julai 18, 2024. (Xinhua/Huang Xiaobang)

    Kijiji cha Wuying katika eneo la mpaka kati ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini-Magharibi mwa China na Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, kikiwa na historia ya zaidi ya miaka 200, ni kijiji kidogo cha watu wa Kabila la Wamiao, ambacho kiko kwenye eneo la milima mirefu inayovuka mpaka kati ya mikoa ya Guangxi na Guizhou.

    Hapo awali, milima na mazingira magumu yasiyoweza kupitika yaliwafanya wenyeji wa huko kuwa maskini sana. Katika miaka ya hivi karibuni, Kijiji cha Wuying kimefanya juhudi zaidi katika kuendeleza uchumi, elimu, utamaduni na mshikamano wa kabila, na kadhalika kuhimiza ustawishaji wa kijiji na kupata maendeleo zaidi.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av