久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Wakazi wa Mji wa Chongqing, China wajipoza joto ndani ya hifadhi ya wakati wa mashambulizi ya anga (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 18, 2024
Wakazi wa Mji wa Chongqing, China wajipoza joto ndani ya hifadhi ya wakati wa mashambulizi ya anga
Wakazi wa mji wa Chongqing, China wakijipoza joto na kupata huduma za kujipumzisha ndani ya hifadhi ya wakati wa mashambulizi ya anga iliyopo katika Wilaya ya Yubei ya mji huo, Tarehe 17, Julai. (Picha na He Penglei/Chinanews)

Siku ya Jumatano, Julai 17 Mji wa Chongqing, China ulitoa tahadhari ya hali joto kali ya ngazi ya rangi ya machungwa, ambayo ni tahadhari ya ngazi pili kwa hali joto kali zaidi na wakazi wengi walikwenda kwenye hifadhi ya wakati wa mashambulizi ya anga ili kujipoza miili na kupata huduma za mapumziko.

Imeripotiwa kuwa, ili kukidhi mahitaji ya wakazi ya kujipoza miili wakati wa joto, vituo 39 vya kujipoza miili vya hifadhi ya raia wakati wa mashambulizi ya anga katika maeneo 11 ya mji huo wa Chongqing vimefunguliwa kwa umma bila ya malipo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>