久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Droni za kubeba mizigo na ndege maalumu zatumika katika usafirishaji wa matunda ya plamu huko Chongqing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 05, 2024
Droni za kubeba mizigo na ndege maalumu zatumika katika usafirishaji wa matunda ya plamu huko Chongqing, China
Wakulima wakichuma matunda ya plamu kwenye bustani ya plamu ya Kijiji cha Ganyuan cha Wilaya ya Wushan, Mji wa Chongqing wa Kusini Magharibi mwa China, Julai 2, 2024.

Matunda ya plamu yameingia msimu wa mavuno katika Wilaya ya Wushan, Mji wa Chongqing wa Kusini Magharibi mwa China. Mwaka huu mtindo mpya wa kutumia droni za kubeba mizigo na ndege maalumu za Kampuni ya Usafiri wa Anga ya Shirika la Posta la China umekuwa ukitumika katika usafirishaji wa matunda ya plamu ya wilaya hiyo. Matunda yaliyovunwa huweza kusafirishwa mara moja kutoka shambani hadi kiwanja cha ndege cha wilaya hiyo kwa kutumia droni za kubeba mizigo, na kisha kuchukuliwa na ndege maalumu mpaka Nanjing, Mkao wa Jiangsu wa Mashariki mwa China, kabla ya kusambazwa kwa wauzaji nchini kote China ndani ya saa 24. (Xinhua/Huang Wei)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>