久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yapandisha mwitikio wa dharura kwa mvua kubwa, mafuriko katika Mkoa wa Hunan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 03, 2024
China yapandisha mwitikio wa dharura kwa mvua kubwa, mafuriko katika Mkoa wa Hunan
Waokoaji wakihamisha wakaazi waliokwama katika Wilaya ya Pingjiang, Mkoa wa Hunan, Katikati ya China, Julai 2, 2024. (Xinhua/Xie Ben)

BEIJING – Serikali ya China imepandisha mwitikio wa dharura siku ya Jumanne kwa majanga yaliyosababishwa na mvua kubwa na mafuriko ya hivi karibuni katika Mkoa wa Hunan katikati mwa China hadi kiwango cha Daraja la tatu ambapo Kamati ya Kitaifa ya Kupunguza Maafa ya China imetuma timu ya kuongoza na kusaidia serikali za mitaa katika kutoa misaada na kufanya uokoaji, ikilenga kuhakikisha mahitaji ya kimsingi ya wakazi walioathirika.

Katika mwitikio wa majanga kwenye Mji wa Miluo na Wilaya ya Pingjiang ya Hunan, Wizara ya Usimamizi wa Dharura ya China (MEM) imetuma droni mbili ili kuimarisha mawasiliano ya simu kwa dharura. Waokoaji zaidi ya 560 wameshiriki katika kuzuia mafuriko na juhudi za kutoa msaada.

Siku ya Jumanne usiku, MEM ilituma waokoaji 200 zaidi na seti 38 za vifaa vya kutiririsha mafuriko ili kuunga mkono kazi ya kukabiliana na mafuriko mkoani Hunan. Wahudumu hawa wa ziada wanatarajiwa kuwasili katika maeneo yaliyoathiriwa leo siku ya Jumatano saa 1 asubuhi.

Mamlaka husika za China pia zimepanga kutoa vipande zaidi ya 100,000 vya vifaa vya misaada, vikiwemo chakula, maji ya kunywa na vifaa vya dharura vya familia. Shehena ya kwanza ya vifaa imewasili katika maeneo yaliyoathirika ya Pingjiang Jumanne usiku.

Tangu katikati ya Juni, mvua kubwa imeendelea kunyesha katika maeneo ya katikati na chini ya Mto Yangtze, na kusababisha kuongezeka kwa viwango vya maji na mafuriko.

Viwango vya maji vimezidi alama za tahadhari katika sehemu za maeneo ya kati na chini ya Mto Yangtze zilizo chini ya mkondo wa Ziwa Dongting, taarifa ya Wizara ya Rasilimali za Maji ya China iliyotolewa Jumanne imesema.

MEM imehimiza umakini zaidi kwa majanga ya kijiolojia, kuhama mapema kwa wakazi wa maeneo hatarishi, kurejeshwa hali ya kawaida kwa haraka kwa vifaa vya kuzuia mafuriko na miundombinu ya mawasiliano ya simu, na kuharakisha kazi ya ukarabati.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>