Lugha Nyingine
Treni inayotumia umeme uliozalishwa kwa nishati ya Hidrojeni yamaliza kuundwa huko Sichuan, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 02, 2024
Picha iliyopigwa tarehe 4, Juni ikionesha wafanyakazi wakiunda treni inayotumia umeme uliozalishwa kwa nishati ya gesi hidrojeni kwenye karakana ya Kituo cha Viwanda vya Usafiri wa Reli cha Kampuni ya Zhongche Tietou. |
Tarehe 1, Julai, kwenye kiwanda cha karakana ya Kituo cha Viwanda vya Usafiri wa Reli cha kampuni ya Zhongche Tietou kilichopo Yibin, Mkoa wa Sichuan wa China, treni inayotumia umeme uliozalishwa kwa nishati ya hidrojeni imemaliza kuundwa. Treni hiyo ilisanifiwa na kuzalishwa na China yenyewe, na itatumika katika reli ya T4 ya Yibin kuanzia mwezi Agosti mwaka huu.
Picha na Zhuang Geer/Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma