久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Njia ya usafiri kati ya Shenzhen-Zhongshan ya China yapitika kwa magari

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 01, 2024
Njia ya usafiri kati ya Shenzhen-Zhongshan ya China yapitika kwa magari
Picha iliyopigwa tarehe 30, Juni ikionesha magari mengi kwenye njia ya usafiri kati ya miji ya Shenzhen-Zhongshan ya China katika siku ya kwanza ya kuzinduliwa kwake.

Tarehe 30, Juni, mradi muhimu wa China uliojengwa kwa miaka saba wa Njia ya Usafiri kati ya Miji ya Shenzhen-Zhongshan ya China ilizinduliwa rasmi, ambapo umefanyika uendeshaji wa majaribio wa magari. Muda wa usafiri kutoka Shenzhen hadi Zhonshan umepungua kutoka saa mbili hadi dakika 30.

Njia ya usafiri ya Shenzhen-Zhongshan kwa jumla ina urefu wa kilomita 24, ikijumuisha njia kwenye “daraja, kisiwa, handaki na kupitiliana chini ya maji”. Njia hii ni moja kati ya miradi migumu zaidi ya kuvuka bahari duniani.

Picha zilipigwa na Liu Dawei/Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>