Lugha Nyingine
Njia ya usafiri kati ya Shenzhen-Zhongshan ya China yapitika kwa magari (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 01, 2024
Tarehe 30, Juni, mradi muhimu wa China uliojengwa kwa miaka saba wa Njia ya Usafiri kati ya Miji ya Shenzhen-Zhongshan ya China ilizinduliwa rasmi, ambapo umefanyika uendeshaji wa majaribio wa magari. Muda wa usafiri kutoka Shenzhen hadi Zhonshan umepungua kutoka saa mbili hadi dakika 30.
Njia ya usafiri ya Shenzhen-Zhongshan kwa jumla ina urefu wa kilomita 24, ikijumuisha njia kwenye “daraja, kisiwa, handaki na kupitiliana chini ya maji”. Njia hii ni moja kati ya miradi migumu zaidi ya kuvuka bahari duniani.
Picha zilipigwa na Liu Dawei/Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma