久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Beijing yafunguliwa na washiriki kutoka nje ya China waongezeka (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 20, 2024
Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Beijing yafunguliwa na washiriki kutoka nje ya China waongezeka
Banda la waandishi vitabu wa China likionekana kwenye Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Vitabu ya Beijing Juni 19, 2024. (Xinhua/Li Xin)

BEIJING - Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Vitabu ya Beijing yamefunguliwa siku ya Jumatano mjini Beijing, China yakivutia waonyeshaji wengi wa kigeni kushiriki kwenye maonesho hayo ikilinganishwa na mwaka jana, ambapo eneo la maonyesho hayo limepanuliwa kwa mita za mraba 55,000 mwaka huu, maonyesho hayo ya siku tano yamekusanya waonyeshaji wapatao 1,600 kutoka nchi na maeneo 71, yakionyesha machapisho 220,000 ya Kichina na ya lugha za kigeni kwa watembeleaji wake, waandaaji wa maonyesho hayo wamesema.

Maonesho hayo yameshuhudia ongezeko la washiriki 150 wa ng’ambo ikilinganishwa na mwaka uliopita, washiriki kutoka nje ya nchi wamefikia 1050, wakichukua asilimia 66 ya washiriki wote.

Ikilinganishwa na Mwaka 2023, maonyesho hayo ya mwaka huu yamekaribisha nchi mpya 15 zinazoshiriki, zikiwemo Azerbaijan, Qatar, Jamhuri ya Czech, Slovakia na Nigeria.

Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Beijing yaliyoanzishwa mwaka 1986, ni moja ya maonyesho makubwa zaidi ya vitabu duniani na yanatumika kama jukwaa kuu la mawasiliano kati ya mashirika ya uchapishaji, kuwezesha biashara ya machapisho kutoka China na nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na kuchapisha vitabu na kazi za media.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>