久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kampuni za Saudi Arabia na China zafanya majaribio ya teksi za kuruka angani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 14, 2024
Kampuni za Saudi Arabia na China zafanya majaribio ya teksi za kuruka angani
Picha iliyopigwa Juni 12, 2024 ikionyesha teksi ya kuruka angani inayojiendesha yenyewe bila dereva wakati wa majaribio yaliyofanyika huko Mecca, Saudi Arabia. (Kampuni ya Front End/Xinhua)

RIYADH - Kampuni za Saudi Arabia na China zimefanikiwa kufanya majaribio ya kujiendesha kwa teksi ya kwanza ya kuruka angani bila dereva huko Mecca, Saudi Arabia ambapo majaribio hayo yamefanywa siku ya Jumatano na Kampuni ya Front End, kampuni ya Saudi Arabia iliyobobea katika kuunganisha teknolojia ya hali ya juu katika sekta mbalimbali, kwa ushirikiano na EHang, kampuni ya jukwaa la teknolojia ya vyombo vya kiotomatiki vya kuruka angani ya China.

Majaribio hayo yanalenga kuongeza kasi, ufanisi, na uendelevu wa usafiri wakati wa ibada ya Hija, ambayo ni ibada takatifu ya kila mwaka ya waumini wa dini ya Kiislamu kwenda Mecca, mji mtakatifu zaidi kwa Waislamu.

Abdulaziz Al-Duailej, Mwenyekiti wa Mamlaka Kuu ya Usafiri wa Anga ya Saudi Arabia, amesema, "Majaribio hayo yameonesha maendeleo makubwa katika utekelezaji wa mpango wa Usafiri wa Hali ya Juu wa Angani katika mazingira ya anga ya Saudi Arabia."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>