久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Meli ya kwanza ya kiwango cha tani 10,000 iliyofikia eneo la mtiririko wa juu la Mto Changjiang yawasili Bandari ya Jiangjin Luohuang, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2024
Meli ya kwanza ya kiwango cha tani 10,000 iliyofikia eneo la mtiririko wa juu la Mto Changjiang yawasili Bandari ya Jiangjin Luohuang, China
Picha iliyopigwa Mei 11, 2024 ikionyesha meli ya “Uvumbuzi No.5” ikiwasili kwenye Bandari ya Jiangjin Luohuang ya Chongqing, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Wang Quanchao)

CHONGQING - Meli ya kiwango cha tani 10,000 ya usafiri wa bahari ya mbali imewasili katika Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China siku ya Jumatano, na kuwa meli ya kwanza yenye ukubwa wa namna hiyo kusafiri hadi eneo la mtiririko wa juu wa Mto Changjiang.

Meli hiyo ya “Uvumbuzi No.5” iliyobeba chakula chenye uzito wa tani zaidi ya 5,000, iliondoka kutoka Bandari ya Zhoushan ya Ningbo katika mkoa wa pwani wa mashariki wa Zhejiang Aprili 24. Imesafiri kupitia njia ya moja kwa moja ya mtoni-baharini ya Chongqing-Zhoushan, ambayo inaunganisha moja kwa moja mji huo wa Chongqing katika eneo la mtiririko wa juu wa Mto Changjiang na bahari.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>