Lugha Nyingine
Uchumi wa usiku wa China washamiri katika maeneo mbalimbali (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2024
Soko la Usiku la Watalii la Huaiyuan katika Wilaya ya Xixia ya Mji wa Yinchuan katika Mkoa wa Ningxia, China likiwa na watu wengi, jioni ya Aprili 21, 2024.(Picha/Yuan Hongyan) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Shuyang ya Mji wa Suqian, Mkoa wa Jiangsu, China imekuwa ikiboresha miundombinu ya michezo na kufanya mazoezi ya kujenga mwili mijini, kujenga au kukarabati na kupanua bustani kadhaa za michezo, majengo na viwanja vya michezo vya umma vya kufanya mazoezi ya kujenga mwili, na kuboresha vifaa vya kusaidia mwanga wa usiku ili kukidhi mahitaji ya wakazi ya kufanya mazoezi ya kujenga mwili wakati wa usiku.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma