Lugha Nyingine
Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafikia tamati mkoani Hainan, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 19, 2024
HAIKOU - Maonyesho ya Nne ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yamefikia tamati mkoani Hainan, Kusini mwa China siku ya Alhamisi ambapo matembezi ya watu kwenye maonesho hayo yaliyofanyika kwa siku sita yamefikia mara zaidi ya 370,000, maonesho ambayo yamehusisha chapa zaidi ya 4,000 kutoka nchi na maeneo 71 duniani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma