Lugha Nyingine
Hali ya eneo la maonyesho la magari yanayotumia nishati mpya (NEV) kwenye Maonyesho ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 17, 2024
Lori linalotumia umeme likionyeshwa kwenye Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China, huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Aprili 15, 2024. (Xinhua/Deng Hua) |
Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China yamefunguliwa siku ya Jumatatu huko Guangzhou, mji mkuu wa Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China ambapo eneo la maonyesho ya magari yanayotumia nishati mpya limekuwa likivutia watembeleaji wengi kutoka ndani na nje ya China. (Xinhua/Deng Hua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma