久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kituo cha kuhifadhi nishati kwa hewa iliyogandamizwa chenye uwezo MW 300 chaanza kufanya kazi mkoani Hubei, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 10, 2024
Kituo cha kuhifadhi nishati kwa hewa iliyogandamizwa chenye uwezo MW 300 chaanza kufanya kazi mkoani Hubei, China
Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye kituo cha kuhifadhi nishati kwa hewa iliyogandamizwa chenye uwezo wa MW 300 huko Yingcheng, Mkoa wa Hubei, Katikati mwa China, tarehe 9 Aprili 2024. (Xinhua/Cheng Min)

Kituo cha kuhifadhi nishati kwa hewa iliyogandamziwa chenye uwezo wa MW 300 katika Mji wa Yingcheng, Mkoa wa Hubei, Katikati mwa China kimeanza kufanya kazi rasmi siku ya Jumanne.

Huku kikiwa na teknolojia inayojulikana kwa jina la "kuhifadhi nishati kwa hewa iliyogandamizwa''. Katika wakati mahitaji ya umeme yakiwa ni madogo, hewa zitasukumwa kwa pampu na kuingia kwenye pango la chini ya ardhi, na wakati mahitaji ya umeme yakiongezeka hewa zitatolewa ili kuzalisha umeme.

Kikiwa kimepewa jina la "benki kubwa ya nishati", kituo hicho kinatarajiwa kuzalisha umeme wa kWh milioni 500 kwa mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>