Lugha Nyingine
Kituo cha kuhifadhi nishati kwa hewa iliyogandamizwa chenye uwezo MW 300 chaanza kufanya kazi mkoani Hubei, China (3)
Wafanyakazi wakikagua Kituo cha Kuhifadhi Nishati kwa Hewa iliyogandamizwa chenye uwezo wa MW 300 huko Yingcheng, Mkoa wa Hubei, Katikati mwa China, tarehe 9 Aprili 2024. (Xinhua/Cheng Min) |
Kituo cha kuhifadhi nishati kwa hewa iliyogandamziwa chenye uwezo wa MW 300 katika Mji wa Yingcheng, Mkoa wa Hubei, Katikati mwa China kimeanza kufanya kazi rasmi siku ya Jumanne.
Huku kikiwa na teknolojia inayojulikana kwa jina la "kuhifadhi nishati kwa hewa iliyogandamizwa''. Katika wakati mahitaji ya umeme yakiwa ni madogo, hewa zitasukumwa kwa pampu na kuingia kwenye pango la chini ya ardhi, na wakati mahitaji ya umeme yakiongezeka hewa zitatolewa ili kuzalisha umeme.
Kikiwa kimepewa jina la "benki kubwa ya nishati", kituo hicho kinatarajiwa kuzalisha umeme wa kWh milioni 500 kwa mwaka.
Watu wakitazama kupatwa kwa jua kikamilifu kote Amerika Kaskazini
Shughuli ya kuadhimisha Siku ya Mashua ya Qintong 2024 yafanyika Jiangsu, China
Watu watoa heshima kwa marehemu kabla ya siku ya Qingming katika Mji wa Beijing, China
Msanii wa Ethiopia abuni sanaa kutokana na ufunuo wa kitabu maarufu cha China “Yi Jing”
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma