久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China iko tayari kurusha satelaiti ya kupokezana ya Queqiao-2 (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 18, 2024
China iko tayari kurusha satelaiti ya kupokezana ya Queqiao-2
Satelaiti ya kupokezana ya Queqiao-2 na roketi ya kubeba vyombo kwenda anga ya juu ya Long March-8 Y3 kwa pamoja vikihamishwa kiwima hadi eneo la kurusha roketi kwenye Kituo cha Urushaji vyombo kwenda Anga ya Juu cha Wenchang katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Machi 17, 2024. (Shirika la Anga ya Juu la China/Xinhua)

WENCHANG, Hainan – Mkusanyiko wa vyombo vya satelaiti ya kubadilishana ya Queqiao-2 na roketi ya kubeba mizigo kwenda anga ya juu ya Long March-8 Y3 kwa pamoja vimehamishwa kiwima siku ya Jumapili hadi eneo la kurusha roketi kwenye Kituo cha Urushaji Vyombo kwenda Anga ya Juu cha Wenchang katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China.

Shirika la Anga ya Juu la China (CNSA) limesema kuwa, Satelaiti hiyo inatarajiwa kurushwa kwa wakati ufaao ndani ya siku chache zijazo.

Mkusanyiko wa vyombo hivyo umehamishwa nje ya jengo la majaribio la wima asubuhi, na kisha kuwasilishwa kwa usalama hadi eneo lao la kurushwa.

Ukaguzi wa roketi, kazi ya majaribio ya pamoja na ujazaji wa kani utafanywa kabla ya urushaji, shirika la CNSA limesema.

Queqiao-2, au Daraja la Magpie -2, itatumika kama jukwaa la kupokezana kwa kipindi cha nne cha mpango wa utafiti wa China wa sayari ya Mwezi kwa kutoa huduma za mawasiliano kwa vyombo vya Chang'e-4, Chang'e-6, Chang'e-7, na Ujumbe wa Chang'e-8.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>