Lugha Nyingine
Kituo cha kuotesha miche kwa teknolojia za akili mnemba chaongeza ufanisi wa kilimo cha majira ya mchipuko Chongqing, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 14, 2024
CHONGQING – Kikiwa na eneo lenye ukubwa wa jumla wa mita za mraba 4,608, kituo cha kuotesha miche ya mimea ya mazao kwa kutumia teknolojia za akili mnemba katika Kijiji cha Shuangxing cha Mji wa Xianlong, Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China kimeongeza sana ufanisi wa kilimo cha majira ya mchipuko. Kituo hicho kinaotesha miche ya mpunga yenye kuweza kupandikizwa kwenye ardhi yenye ukubwa wa hekta 800 kwa mwaka, kikisaidia wakulima wenyeji kuongeza mapato.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma