久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kituo cha kuotesha miche kwa teknolojia za akili mnemba chaongeza ufanisi wa kilimo cha majira ya mchipuko Chongqing, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 14, 2024
Kituo cha kuotesha miche kwa teknolojia za akili mnemba chaongeza ufanisi wa kilimo cha majira ya mchipuko Chongqing, China
Wafanyakazi wakisambaza mbegu za mpunga kwenye kituo cha kuotesha miche kwa teknolojia za akili mnemba katika Kijiji cha Shuangxing cha Mji wa Xianlong, Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Machi 12, 2024. (Xinhua/Huang Wei)

CHONGQING – Kikiwa na eneo lenye ukubwa wa jumla wa mita za mraba 4,608, kituo cha kuotesha miche ya mimea ya mazao kwa kutumia teknolojia za akili mnemba katika Kijiji cha Shuangxing cha Mji wa Xianlong, Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China kimeongeza sana ufanisi wa kilimo cha majira ya mchipuko. Kituo hicho kinaotesha miche ya mpunga yenye kuweza kupandikizwa kwenye ardhi yenye ukubwa wa hekta 800 kwa mwaka, kikisaidia wakulima wenyeji kuongeza mapato.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>