Lugha Nyingine
Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2024
Wakulima wakifanya kazi shambani katika kijiji cha Tarafa ya Jiaji ya Mji wa Qionghai, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Machi 6, 2024. (Picha na Meng Zhongde/Xinhua) |
Wakulima katika mikoa mingi ya China wako katika pilika nyingi mashambani kwa ajili ya ulimaji, upandaji wa mbegu na shughuli nyingine za kilimo cha majira ya mchipuko.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma