Lugha Nyingine
Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2024
Mkulima akilima shamba katika Kijiji cha Maba cha Wilaya ya Wudu ya Mji wa Longnan, Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Machi 5, 2024. (Picha na Ran Chuangchang/Xinhua) |
Wakulima katika mikoa mingi ya China wako katika pilika nyingi mashambani kwa ajili ya ulimaji, upandaji wa mbegu na shughuli nyingine za kilimo cha majira ya mchipuko.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma